# MCHOMONEWS: Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amejiandikisha kupiga kura ya maoni ya kufanya marekebisho ya katiba ya nchi hiyo itakayofanyika mwezi Mei mwaka huu, mabadiliko hayo ni pamoja na kuongeza muda wa rais madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 na yatamwezesha kugombea kwa awamu nyingine.
No comments