BREAK NEWS

Marekani imesema Makamu wa Rais Mike Pence alikuwa amepanga kukutana na dada wa Kim Jong Un



#mchomonews: Marekani imesema Makamu wa Rais Mike Pence alikuwa amepanga kukutana na dada wa Kim Jong Un, Kim Yo Jong wakati wa ufunguzi wa michezo ya Olimpiki uliofanyika Korea Kusini tarehe 9 Februari lakini Korea Kaskazini ilisitisha mpango huo.

No comments