BREAK NEWS

Mataifa mbalimbali duniani yameahidi kuipatia Iraq msaada wa dola bilioni 30 kwa ajili ya kujenga miundombinu ya nchi




#mchomonews: Mataifa mbalimbali duniani yameahidi kuipatia Iraq msaada wa dola bilioni 30 kwa ajili ya kujenga miundombinu ya nchi hiyo ambayo imeharibika kutokana na vita kati ya serikali na kundi la IS. Serikali ya Iraq imesema inahitaji zaidi ya dola bilioni 88 ili kufanikisha hilo.

No comments