SALAMU ZA MANARA ZA IJUMAA BAADA YA MENGI KUSEMWA, NA HALI YA JOHN BOCCO
Baada ya matokeo ya jana Simba iliyoyapata ya sare ya golu 2-2 dhidi ya
Mwadui ya mkoani Shinyanga yamesemwa mengi mno ikiwemo kuanzia kuyumba.
Kupitia akaunti yake ya Instagram Manara amesema kuwa mengi yamesemwa kwamba Simba imeanza kuyumba, lakini akafafanua kwamba kauli hizo zinatoka kwa wapinzani wao ambao wanaamini kuwa Mungu ni wao peke yao.
Manara amesisitiza kwamba mashabiki wa Simba wapuuzeni kauli za kuwavunja moyo.
Blogging Pages
CC M Ameongeza na kusema kuwa wao kutoka sare sio jambo la ajabu kwani Mwadui imezifunga Singida United kabla ya mchezo wa jana Alhamisi, pia waliwafunga Mtibwa 3-1 Shinyanga na waliwahi kutokoka sare na Yanga na Azam tena wakiwa Dar es Salaam.
Manara alihoji kwamba kwanini wao kutoka nao sare na Mwadui ndiyo iwe nongwa tena ugenini?.
Alisema Simba haitatoka kwenye mstari na washabiki watulieni na wazidi kuiombea timu na kuisapoti huku akisema kwamba bado wanaongoza ligi.
Baada ya maneno hayo Manara emedokeza kuwa “Msisahau Mwadui hawa hawa walisababisha Boniface Mkwasa kunusurika kupigwa na washabiki wa Yanga baada ya kutoka nao sare.”
Manara pia aliisemea hali ya Nahodha wa kikosi hicho John Bocco kuwa yanaendelea vema kwa sasa na jopo la madaktari linaangaika nae ili aweze kucheza tena haraka iwezekanavyo.
USISAHAHAU KULIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI ZA MICHEZO, BOFYA LIKE

No comments