Mtizame:Mayweather anaendelea ku-enjoy maisha baada ya kustaafu boxing
Mtizame: Mayweather anaendelea ku-enjoy maisha baada ya kustaafu boxing
mchezo
Bondia mwenye rekodi ya kutopoteza pambano lolote Floyd Mayweather bado anaendelea kula raha na kufurahia utajiri wake aliyoupata kutokana na
mchezo
huo,
Mayweather kutumia ukurasa wake wa instagram amepost picha kadhaa zikimuonesha akila bata sehemu tofauti tofauti.
Mayweather ambaye ana umri wa miaka 41 kwa sasa inaripotiwa kuwa hawezi kurudi tena ulingoni baada ya kutangaza rasmi kustaafu mchezo huo kwa rekodi ya kutopoteza pambano, hadi anatangaza kustaafu Mayweather alikuwa
kacheza mapambano 50 na hajapoteza hata moja kashinda yote.
Baada ya kumpiga MC Gregor August 2017 Floyd Mayweather hajaonekana tena ulingoni zaidi zaidi amekuwa akionekana miji tofauti tofauti duniani aki-enjoy
No comments