BREAK NEWS

Mchezaji wa kimataifa wa Kenya, Victor Wanyama anatajwa katika orodha ya wachezaji ambao Manchester United inataka kuwasajili



#mchomonews: Mchezaji wa kimataifa wa Kenya, Victor Wanyama anatajwa katika orodha ya wachezaji ambao Manchester United inataka kuwasajili ili kuziba pengo la Michael Carrick ambaye atastaafu mwishoni mwa msimu. Kwa sasa Wanyama anachezea Tottenham na thamani yake inatajwa kuwa pauni milioni 40.

No comments