##mshananews: Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amemwagiza mmiliki wa kampuni inayochakata Madini Bati ya African Top Minerals iliyopo Kyerwa mkoani Kagera kutoendelea na kazi hiyo hadi pale atakapofuata taratibu za kuomba na kupatiwa leseni halali ya Serikali.
No comments