BREAK NEWS

Serikali ya Syria imesema haina silaha za kemikali



#DewjiBlogNews: Serikali ya Syria imesema haina silaha za kemikali na kwamba makundi ya kigaidi nchini humo likiwemo la Al-Nusra na Dola ya Kiislamu (IS) ndiyo yana shehena za silaha hizo.

No comments