#mchomonews: Treni ya abiria iliyokuwa ikitokea mkoani Tabora kwenda Kigoma imepata ajali katika eneo la Kijiji cha Mpeta wilayani Uvinza. Ajali hiyo imesababishwa na kichwa cha treni kuacha njia na kusababisha mabehewa mawili kuanguka katika dimbwi dogo la maji.
No comments