BREAK NEWS

TIZAMA HAPA ROMA MKATOLIKI ALIVYO FUNGIWA NA (BASATA) KWAKIPINDI CHA MIEZI SITA



#mchomonew: Baraza la Sanaa (BASATA) limemfungia mwanamuziki Roma Mkatoliki kwa muda wa miezi sita kutojihusisha na sanaa ya muziki kutokana na kutotii agizo la kubadili maudhui ya wimbo wake wa Kibamia lililotolewa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

No comments