BREAK NEWS

Polisi nchini Ufaransa wamemkamata mwanaume mmoja



#mchomonews: Polisi nchini Ufaransa wamemkamata mwanaume mmoja akidaiwa kuwabaka na kuwafanyia unyanyasaji wa kijinsia wanawake takribani 40 nchini Ufaransa na Ubelgiji katika miaka ya 1980.

No comments