BREAK NEWS

Pep Guardiola ameshinda fainali 9 kati ya 10 zilizopita akiwa kocha



Pep Guardiola ameshinda fainali 9 kati ya 10 zilizopita akiwa kocha - fainali pekee aliyopoteza akiwa kocha ni mchezo kati ya FC Barcelona dhidi ya Real Madrid mwaka 2011, Copa del Rey - kikosi cha Madrid kilimhusisha pia Mesut Ozil ambaye wikiendi hii atakuwa kwenye kikosi cha Arsenal ambao watacheza na Man City ya Pep kwenye fainali ya Carabao Cup!

No comments