BREAK NEWS

PICHA 10: HAPA NDIPO WALIPOFIKIA YANGA HUKO SHELISHELI



PICHA 10: HAPA NDIPO WALIPOFIKIA YANGA HUKO SHELISHELI



 Kikosi cha mabingwa watetzi wa ligi kuu Tanzania Young Africans, kimefikia katika Hoteli ya Reef Holiday ya nchini humo kwa ajili ya mchezo wa marudiano ligi ya bingwa Afrika.


Reef Holiday ni Hotel ya nyota tatu ambayo ni bora kabisa kwa Shelisheli ukiondoa zile ambazo zaidi hutumika kwa ajili ya utalii.
 Yanga ipo huko Shelisheli kwa ajili ya mchezo wake wa marudiano, Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Saint Louis, utakaofanyika Jumatano ya February 21 kwa huu, huku Simba wao wakicheza kesho dhidi ya Gendarmerie ya Djibout kombe la shirikisho.

Yanga inahitaji ushindi wowote ili kuweza kufuzu katika hatua hiyo ya awali ya ligi ya mabingwa Afrika.


No comments