SIMBA WAFIKIA HOTEL YA SHERATON UFUKWENI MWA BAHARI YA HINDI
SIMBA WAFIKIA HOTEL YA SHERATON UFUKWENI MWA BAHARI YA HINDI
Klabu ya Simba imefikia katika Hoteli ya nyota 5 nchini Djibouti kwa ajili ya mchezo wa marudiano utkaofanyia February 20 mwaka huu.
Hoteli ya Sheraton ni moja ya hoteli kubwa zaidi nchini humo, pia hoteli hiyo iko katika ufukwe wa Bahari ya Hindi.
No comments