RATIBA YA LEO LIGI KUU TANZANIA BARA FEBRUARY 19-2018
RATIBA YA LEO LIGI KUU TANZANIA BARA FEBRUARY 19-2018
Baada ya kukamilka kwa michezo minne ya ligi kuu Tanzania raundi ya 19, ligi hiyo inatarajiwa kuendelea tena leo Jumatatu ya February 19 kwa michezo miwili.
Leo Jumatatu ya February 19-2018 Tanzania Prisons watawakaribisha Mwadui Fc saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Sokoine-Mbeya.
Mtibwa Sugar watawakaribisha Ruvu Shooting saa 16:00 jioni kwenye dakika Manungu-Morogoro.
Michezo miwili ya Simba vs Mbao na Ndanda vs Young Africans inayokamilisha raundi ya 19, itachezwa kati ya February 26 na 28 huku Simba wakiwa ndio wanaanza February 16.


No comments