BREAK NEWS

Picha: kikosi cha barcelona kikiongozwa na messi chatua uingereza tayari kuikabili chelsea

Picha: kikosi cha barcelona kikiongozwa na messi chatua uingereza tayari kuikabili chelsea
Kikosi cha klabu ya Barcelona kikiongozwa na Lionel Messi kimetua nchini Uingereza tayari kuuivaa timu ya Chelsea katika mchezo wa klabu bingwa barani Ulaya leo Jumanne.
Barcelona itaingia katika mechi hiyo huku ikiwa na rekodi ya kutopoteza kwa zaidi ya michezo nane ya mashindano yote.
Picha za wachezaji wa Barcelona wakiwasili Uwanja wa ndege nchini Uingereza

No comments