BREAK NEWS

MANCHESTER CIYT NJE KOMBE LA FA



MANCHESTER CIYT NJE KOMBE LA FA
Habari iliyotrend usiku wa kuamkia leo nikuwa golikila namba moja wa klabu ya soka ya simba na timu ya taifa ya Tanzania Aishi manula ameteguka mkono jana akiwa katika mazoezi ya mwisho kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Gender marie leo .
Ugua pole Aishi manula .
👉Kuelekea mchezo huo jana Haji S manara amesema vijana wake wapo katika hali nzuri na watakwenda kupambana ili wapate ushindi na kusonga mbele katika mashindano hayo .
👉Vpl iliendelea jana kwa michezo miwili kupigwa
1-Mchezo wa kwanza ulipigwa katika dimba la Sokonne jijini Mbeya Mchezo huo uliwakutanisha Tz Prisons dhdi ya Mwadui fc, mchezo umemalizika kwaTz Prisons kuibuka na ushindi wa goli moja bila likifungwa na Laurian mpalile .
Baada ya mchezo huo kocha wa Tanzania Prisons asema anashukuru kupata point 3 kwani ulikua mchezo mgumu kwao , pia kocha wa timu hiyo amesema kuwa Sasa wanajiandaa na Mchezo wa kombe la Asfc .
Naye kocha mkuu wa Mwadui fc amesema kuwa timu imecheza vizuri kwani wamekosa nafasi nyingi, kocha huyo amesema bado mwamuzi hakuwa fair katika michezo huo .
2 Mchezo mwingine ulichezwa katika mashamba ya miwa huko mjini Morogoro , Mtibwa sugar walimkaribisha Ruvu shooting kutoka pwani , mchezo huo umemalizka kwa Ruvu shooting Kushinda goli mbili kwa moja .
baada ya matokeo hayo Masau bwire alisema kuwa lengo la timu yao kama Ruvu shooting nikumaliza nafasi za juu katika msimamo wa ligi kuu nchini.
👉Kutoka Tanga tajiri Nasoro Binslum amesema baada ya Cost union kupanda ligi kuu Nchini Tanzania ataiweka Cost union katika hali nzuri msimu ujao ili kuleta upinzani katika kuwania taji la ligi kuu Nchini Tanzania bara .
👉Matajiri wa Jiji la Dar es laam Azam fc wao wamesema kwa sasa wanajiandaa na mchezo ujao wa kombe la Asfc dhidi ya KMC .
👉Daktari wa klabu ya soka ya Simba Gembe ameweka wazi kuwa Nahodha wao John Boka hatacheza mchezo wa loe dhidi ya Gender marie kwakua bado anauguza majeraha yake .
👉Mwakyembe amesema kuwa Raisi wa FIFA akiwasili nchini moja kwa moja atampeleka ikulu kwa ajili ya kukutana na Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli , Ifantino atakuja nchini kwa ajili ya mkutano mkuu wa FIFA utakao rindima hapa nchini huku ajenda za mkutano huo zikiwa ni
soka la wanawake
soka la vijana
Fedha za miradi kutoka Fifa
👉BMT imetangaza kumfungia Katibu mkuu wa chama cha Madaktari wa michezo nchini Nasoro Matuzya , imeelezwa kuwa katibu huyo amefungiwa kwa sababu ya matumizi mabaya ya madaraka .
👉Kutoka Yanga mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania bara klabu ya soka ya Yanga jana imefanya mazoezi yake kuelekea mchezo wao dhidi ya St louis hapo kesho .
SOKA KIMATAIFA
👉Kuelekea usiku mkubwa leo FCBarcelona jana wamewasili England tayari kwa mchezo dhidi ya chelsea mchezo huo utakua wa kuvutia kwa wapenda soka wote dunia Mchezo huu utaanza saa tano kasoro usiku .
👉Iniesta amesema kocha wa zamani wa fc barcelona Luis Enrique ni kocha bora ambaye anaweza kushinda mataji popote pale huku akimsifia sana kuwa ni kocha wa daraja la juu sana .
👉Imeelezwa kuwa kocha mkuu wa Timu ya Harambee stars Paul Put amejiuzulu nafasi yake ya ukocha baada ya kuifundisha timu hiyo kwa mda mchache sana.
👉Manchester city yatupwa nje katika kombe la FA baada ya kupokea kichapo cha goli moja kwa bila kutoka katika klabu ya Wigan Athletic goli la wigan limefungwa na Willy Grigg dakika ya 79.
👉Shirikisho la soka barani Afrika limesema litaanza kutumia teknolojia ya video ya kumsaidia mwamuzi
VAR - Video Assistance Referee Caf imesema teknolojia hiyo itaanza kutumika rasmi katika mchezo wa Super Cup mwaka huu ..
👉MSIMAMO WA LIGI KUU NCHINI MOROCCO
1 Ittihad Tanger ...33
2 Raja Casablanca...31
3 Hassania Agadir ... 30
4 FAR Rabat ...28
5 Difaa El Jadida ...25
6 Chabab Rif Al... 17 25
7 RSB Berkane ...24
8 FUS Rabat ...23
9 Wydad Casabl...22
10 Olympic Club...22
11 KACM ...21
12 OCK Khouribga...19
13 Rapide Club O... 17
14 Chabab Atlas...15
15 Racing de Ca...12

No comments