BREAK NEWS

Simba imeibuka na ushindi wa goli 5-0 dhidi ya Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara #VPL.



#mshananews: Simba imeibuka na ushindi wa goli 5-0 dhidi ya Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara #VPL. Magoli ya Simba yamefungwa na Kichuya, Okwi (2), Erasto Nyoni na Nicholas Gyan. Kwa sasa Simba imefikisha alama 45 ikiwa katika nafasi ya kwanza ya msimamo.

No comments