BREAK NEWS

SIMBA KUREJEA NCHINI LEO FEBRUARY 21-2018




Baada ya kuibuka na ushindi wa wa bao 1-0, huko Djibout kikosi cha Simba kinatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam leo.
Simba imefuzu kwenda raundi ya kwanza ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika kwa ushindi wa jumla wa mabao 5-0 dhidi ya gendarmerie.
8 V
Al VS Katika raundi ya kwanza Simba itakutana na Mafarao wa Misri Al- Masry, ambapo mchezo wa kwanza unatarajiwa kupigwa Jijini Dar es salaam March 06-2018.
Simba inarejea kwa usafiri wa ndege za kampuni ya KQ kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mbao FC ya mwanza, mchezo utakaopigwa February 26-2018 kwenye uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam.

No comments