#mchomonews: Tume ya Uchaguzi (NEC), imetamtangaza Maulid Mtulia wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Kinondoni baada ya kupata kura 30,247 akifuatiwa na Salum Mwalimu wa Chadema aliyepata kura 12,353.
No comments