BREAK NEWS

Wafuasi wa Muungano wa Upinzani nchini Kenya (NASA) wameandamana mbele ya Ubalozi wa Marekani



#mchomonews: Wafuasi wa Muungano wa Upinzani nchini Kenya (NASA) wameandamana mbele ya Ubalozi wa Marekani uliopo mjini Nairobi wakitaka Balozi wa Marekani Robert Godec aondoke nchini humo ikiwa ni wiki moja imepita tangu Balozi huyo kumtaka Raila Odinga kumtambua Uhuru Kenyatta kama Rais wa Kenya.

No comments