Mshambuliaji 🇹🇿 Rashid Mandawa (katikati) anayechezea klabu ya BDF XI ya Bostwana, leo amefunga mabao mawili katika ushindi wa mabao 3-1 wa timu yake dhidi ya Jwaneng Galaxy.
Katika michezo 15 ya Ligi Kuu BWPL aliyocheza, Mandawa amefunga mabao 8 na kutoa pasi za mabao 3.
No comments