BREAK NEWS

Mahakama nchini Uturuki imewahukumu waandishi wa habari sita kifungo cha maisha



#mchomonews: Mahakama nchini Uturuki imewahukumu waandishi wa habari sita kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya kushiriki katika jaribio la mapinduzi la mwaka 2016.

No comments