BREAK NEWS

Kampuni ya madini ya Acacia imesema kuna uwezekano ikauza sehemu ya mali zake zilizopo hapa nchini.



#mchomonews: Kampuni ya madini ya Acacia imesema kuna uwezekano ikauza sehemu ya mali zake zilizopo hapa nchini. Kampuni mbili tofauti za China, Shandong Gold Mining na Zijin Mining Group zimeripotiwa kuanza mazungumzo na Acacia.

No comments