BREAK NEWS

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar, Lazaro Mambosasa amekiri mtu mmoja kupigwa risasi na polisi



#mchomonews: Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar, Lazaro Mambosasa amekiri mtu mmoja kupigwa risasi na polisi wakati wakiwatawanya wafuasi wa Chadema walioandama jana Februari 16, 2018.

No comments