BREAK NEWS

Wanajeshi wa Rwanda wamewaua wanajeshi watano wa DR Congo wakidhani kuwa ni waasi



#mchomonews: Wanajeshi wa Rwanda wamewaua wanajeshi watano wa DR Congo wakidhani kuwa ni waasi. Jeshi la Rwanda limesema DR Congo ndio walianza kuwashambulia hivyo na wao wakajibu mashambulizi ili kujilinda. Tukio hilo limetokea katika Mbunga ya Wanyama ya Virunga iliyopo DR Congo.

No comments