BREAK NEWS

Walimu watatu wameuawa leo asubuhi



#mchomonews: Walimu watatu wameuawa leo asubuhi na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya wapiganaji wa kundi la  Al-Shabaab kufanya shambulio katika Shule ya Msingi Qarsa iliyopo kaunti ya Wajir nchini Kenya.

No comments