BREAK NEWS

Umoja wa Mataifa umesema watoa huduma wawili wameuawa na mwingine mmoja akitekwa na wapiganaji wa kundi ambalo bado halijafahamika



#mshananews: Umoja wa Mataifa umesema watoa huduma wawili wameuawa na mwingine mmoja akitekwa na wapiganaji wa kundi ambalo bado halijafahamika. UN imesema tukio hilo lilitokea mwisho mwa wiki iliyopita katika jimbo la Kivu Kaskazini nchini DR Congo.

No comments