BREAK NEWS

Kiongozi wa boko haramu asakwa



#mchomonews: Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amelitaka jeshi la nchi hiyo kuhakikisha linamkamata kiongozi wa kundi la Boko Haram, Abubakar Shekau akiwa hai au amekufa.

No comments