BREAK NEWS

Wakimbizi 26 kutoka DR Congo wamefariki duniani



##mchomonews: Wakimbizi 26 kutoka DR Congo wamefariki duniani wakiwa kambini nchini Uganda kutokana na kuugua ugonjwa wa kuhara na wengine 552 wametambuliwa kuwa na ugonjwa huo.

Uganda imekuwa ikipokea wakimbizi wengi kutoka DR Congo ambapo kwa mwaka 2018 pekee imepokea zaidi ya wakimbizi 40,000.

No comments