##mchomonews: Mkuu wa Idara ya Uhamiaji nchini Kenya, Gordon Kihalangwa amesema mwanasheria wa NASA, Miguna Miguna anatakiwa kuomba upya uraia wa nchi hiyo kwani alikuwa ameshapoteza sifa za kuwa raia wa Kenya. Kwa sasa Miguna yuko Canada ambako alipelekwa na serikali ya Kenya
.
No comments