#mshananews: Kesi ya utumiaji vibaya madaraka inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji nchini (TBC), Tido Mhando imehairishwa hadi Februari 28, 2018 baada ya wakili upande wa utetezi kuomba muda wa kupitia maelezo ya awali aliyopewa na Takukuru.
No comments