Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta wamewaagiza Mawaziri wa Tanzania na Kenya kutatua changamoto ndogondogo
#mchomonews: Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta wamewaagiza Mawaziri wa Tanzania na Kenya kutatua changamoto ndogondogo zinazojitokeza katika biashara kati ya nchi hizo mbili.
Wamesema wanataka kuona biashara kati ya Tanzania na Kenya inazidi kukua na bidhaa zinauzwa na kununuliwa baina ya nchi hizo bila vikwazo vyovyote.
Kwa habari zaidi tembelea dewjiblog.com
Wamesema wanataka kuona biashara kati ya Tanzania na Kenya inazidi kukua na bidhaa zinauzwa na kununuliwa baina ya nchi hizo bila vikwazo vyovyote.
Kwa habari zaidi tembelea dewjiblog.com
No comments