BREAK NEWS

Watoto wachanga milioni 2.6 hufa kabla ya kutimiza mwezi mmoja kila mwaka duniani.



#mchomonews: Watoto wachanga milioni 2.6 hufa kabla ya kutimiza mwezi mmoja kila mwaka duniani. Hali ni mbaya zaidi barani Afrika. Lakini Malawi imefanikiwa kupunguza nusu ya vifo vya watoto katika kipindi cha miaka 16 iliyopita. Tutatazama njia wanazotumia na kufanikiwa kukabiliana na suala hilo.

No comments