Mkufunzi wa Sevilla Vincenzo Montella amefanya mzaha
Mkufunzi wa Sevilla Vincenzo Montella amefanya mzaha kwamba timu yake huenda ikalazimika 'kumfunga kamba' Alexis Sanchez ili kumzuia mshambuliaji huyo wa Manchester United katika mechi ya Jumatano ya klabu bingwa.
Sanchez mwenye umri wa miaka 29 amefunga mara moja pekee katika mechi tano tangu alipojiunga na United katika dirisha la uhamisho la mwezi Januari.
Sanchez mwenye umri wa miaka 29 amefunga mara moja pekee katika mechi tano tangu alipojiunga na United katika dirisha la uhamisho la mwezi Januari.
No comments