BREAK NEWS

YANGA WATUA SHELISHELI SALAMA TAYARI KUMALIZANA NA ST LOUIS



YANGA WATUA SHELISHELI SALAMA TAYARI KUMALIZANA NA ST LOUIS


Mabingwa watetezi ligi kuu Tanzania Bara, Young Africans tayari wametua nchini Shelisheli kwa ajili ya mechi yao ya marudiano dhidi ya St Loiuis Jumatano ya February 21 mwaka huu.
Katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga ilishinda kwa bao 1-0.
Kikosi hicho kipo tayari ugenini nchini Shelisheli na kiliondoka Dar es Salaam kupitia Nairobi, Kenya.
Orodha kamili ya wachezaji waliosafiri leo kwa ajili ya mchezo huo wa marudiano:
👉 Makipa:-
✅Ramadhani Kabwili,
✅Beno Kakolannya,
✅Youthe Rostand.
👉 Mabeki:-
✅Hassan Kessy,
✅Juma Abdul,
✅Mwinyi Haji,
✅Gadiel Michael,
✅Nadir Haroub Cannavaro,
✅ Patto Ngonyani,
✅Kelvin Yondani, na
✅Said Juma Makapu.
👉 Viungo:-
✅Papy Tshishimbi,
✅Pius Buswita,
✅Raphael Daud,
✅Yussuf Mhilu,
✅Said Mussa Bakari na
✅Geoffrey Mwashiuya,
👉 washambuliaji ni
✅Juma Mahadhi,
✅Emmanuel Martin na
✅Ibrahim Ajib

No comments