KIKOSI CHA WACHEZAJI 20 CHA SIMBA KINACHOSAFIRI LEO KWENDA DJIBOUT
KIKOSI CHA WACHEZAJI 20 CHA SIMBA KINACHOSAFIRI LEO KWENDA DJIBOUT
Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka leo Jumapili saa 11 jioni kuelekea nchini Djibouti tayari kwa mchezo wa marudiano kombe la shirikisho dhidi ya Gendarmerie.
Wachezaji 20 wametajwa kuwemo kwenye msafara huo.
Nahodha John Bocco ambaye alikuwa kwenye hatihati ya kusafiri kutokana na majeruhi, amejumuishwa katika kikosi hicho.
Kikosi kamili cha wachezaji wanaosafiri
(1) Aishi Salum Manula
(2) Emanuel Elias Mseja
(3) Mohamed Hussein Mohamed
(4) Mzamiru Yassin Said
(5) Bukaba Paul Bundala
(6) Emmanuel Arnold Okwi
(7) Moses Peter Kitandu
(8)Shiza Ramadhani Yahya
(9) Nicholas Gyan
(10) Erasto Edward Nyoni
(11) James Agyekum Kotei
(12) Shomari Salum Kapombe
(13) Mwinyi Kazimoto Mwitula
(14) Jonas Gellard Mkude
(15) John Raphael Bocco
(16) Ally Shomary Sharifu
(17) Said Hamisi Juma
(18) Yusufu Seleman Mlipili
(19) Murushid Juuko
(20) Kwasi Asante
No comments