BREAK NEWS

Zimbabwe imetangaza utaratibu mpya wa kuomba visa



#mchomonews: Zimbabwe imetangaza utaratibu mpya wa kuomba visa ambao utawawezesha wananchi kutoka nchi 28 kupata visa baada ya kuwasili nchini humo, hatua hiyo ni sehemu ya jitihada za serikali kukuza sekta ya utalii.

No comments