BREAK NEWS

HAWA HAPA WAFUNGAJI BORA L





Ligi kuu Tanzania Bars imefikia hatua ya 19 sasa baada ya kukamilika kwa raundi ya 18 msimu 2017-2018.
Kwenye hatua hiyo klabu ya Simba Sc ndio vinara mpaka sasa huku wakifuatiwa na watani wao wa Jadi Young Africans, Simba wakiwa na alama 42 Yanga wana 37 huku Azam wakiwa na 35 kwenye nafasi ya 3.
Timu hizo tatu ndo zinaonekana ziko kwenye mbio ya kuwania ubingwa wa msimu huu, tukiachana na vilabu hawa ndio wafungaji bora ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2017-2018 mpaka ssasa
1-Emmanuel Okwi (Simba Sc) =14
2-Obrey Chirwa (Young Africans) =11
3-John Bocco (Simba Sc) =10
4-Habib Kiyombo (Mbao Fc) =09
5-Mohamed Rashid (Tanzania Prisons) =07
6-Eliud Ambokile (Mbeya City) =07
7-Asante Kwasi (Simba Sc) =06
8-Shiza Kichuya (Simba Sc) =06
9-Marcel Boniventure (Majimaji Fc) =06
10-Ibrahim Ajibu (Young Africans) =05
11-Khamis Mcha (Ruvu Shooting) =05

No comments