BREAK NEWS

Kamati Kuu ya chama tawala nchini Ethiopia cha EPRDF imekubali maombi ya Hailemariam Desalegn kujiuzulu



#mchomonews: Kamati Kuu ya chama tawala nchini Ethiopia cha EPRDF imekubali maombi ya Hailemariam Desalegn kujiuzulu nafasi ya Uwaziri Mkuu na Unyekiti wa chama hicho. Desalegn aliwasilisha barua ya kujiuzulu jana Alhamisi Februari 15, 2018.

No comments