BREAK NEWS

ahakama ya Wilaya Kinondoni imemuhukumu kwenda Jela miaka 30, Agness Mhoja (40) mkazi wa Kinondoni



‪Mahakama ya Wilaya Kinondoni imemuhukumu kwenda Jela miaka 30, Agness Mhoja (40) mkazi wa Kinondoni Mkwajuni kwa kukutwa na hatia ya kusafirisha Kilo 32.57 za dawa za kulevya aina ya bangi kwenye kituo cha Mabasi Ubungo October 30 2016.

No comments