#mchomonew: Serikali ya Sri Lanka imetangaza hali ya dharura kwa siku 10 ili kuchukua hatua kali dhidi ya watu wanaohusika na mashambulizi dhidi ya msikiti na maduka ya Waislamu yanayofanywa na Mabudha katika wilaya ya Kandy.
Serikali ya Sri Lanka imetangaza hali ya dharura kwa siku 10
Reviewed by Unknown
on
March 06, 2018
Rating: 5
No comments