BREAK NEWS

Shirika la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limesema idadi ya ndoa za utotoni duniani imepungua



#mchomonew: Shirika la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limesema idadi ya ndoa za utotoni duniani imepungua. Kwa sasa msichana mmoja kati ya watano anaolewa kabla ya kutimiza miaka 18 tofauti na miongo iliyopita ambapo msichana mmoja kati ya wanne aliolewa.

No comments