BREAK NEWS

Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo Tanzania kimepiga marufuku biashara ya uuzaji figo



#mchomonews: Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo Tanzania kimepiga marufuku biashara  ya uuzaji figo nchini na kueleza kuwa huo si utaratibu mzuri kwa madhara yake ni makubwa.

No comments