BREAK NEWS

Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mchezji wa Simba Sc Said Hamis Ndemla



Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mchezji wa Simba Sc Said Hamis Ndemla , ila mchambuzi wa hapa nchini Edo Kumwembe amesema kwa uwezo wa mchezaji huyu kuendelea kucheza soka la bongo ni kupoteza muda amedai asipoangalia hilo atakuja kujutia.


No comments