BREAK NEWS

HIZI NDIO BAZI YA MECHI ZA KIMATAIFA KESHO KUTWA



International Break: Wakati Taifa Stars ikiumana na Algeria - huko duniani kutakuwa na mitanange ya kukata na shoka ya kirafiki, Salah vs Ronaldo, Ujerumani vs Spain, Uholanzi vs England, Messi anakutana na waitaliano. Halafu wiki ijayo Brazil atakuwa na nafasi ya kulipa kisasi cha kupigwa 7 dhidi ya Wajerumani!

No comments