Idara ya Uhamiaji imekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao
#mchomonew: Idara ya Uhamiaji imekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao kwamba Watanzania waliopata passport zao wakiwa Tanzania Bara wanazuiliwa kwenda nje ya nchi kupitia Zanzibar.
Imesema ilichozuia ni kuondoka kiholela kwa Watanzania hususan wasichana wanaokwenda kufanya kazi za ndani katika nchi za Mashariki ya Kati.
"Hii imefanyika kutokana na matukio mengi ya unyanyasaji pamoja na kukosa haki zao wanapokuwa wanafanya kazi katika nchi hizo."

No comments