BREAK NEWS

JE? DIAMOND PLATNUMZ ATASHIRIKI KUTUMBUIZA KWENYE KOMBE LA DUNIA



Exclusive: Kumekuwepo na mkanganyiko kuhusiana na suala la wimbo rasmi wa World Cup na ushiriki wa msanii @diamondplatnumz kwenye wimbo huo. Nimezungumza na Diamond mwenyewe kuhusiana na jambo hili - Je atatumbuiza kwenye ufunguzi? Ni kweli ameshiriki kwenye wimbo rasmi wa World Cup 2018? - story kamili on #ShaffihDaudaWebsite - link kwenye bio

No comments