BREAK NEWS

Wafadhili mbalimbali duniani wanatarajiwa kukutana Aprili 13



#mchomonews: Wafadhili mbalimbali duniani wanatarajiwa kukutana Aprili 13 jijini Geneva nchini Uswisi kuchangisha Dola Bilioni 1.7 (Tsh. 3.8 Trilioni) ili kufanikisha misaada ya kibinadamu kwa wakimbizi wa DR Congo.

No comments