BREAK NEWS

TIZAMA WANAFUNZI WALIOSHINDWZ KURIPOTI SHULE MWAKA HUU WLAYANI KAKONKO



#mchomonews: Afisa elimu wilayani Kakonko, Clouds Nzabayanga amesema jumla ya wanafunzi 346 wa kidato cha kwanza wilayani humo wameshindwa kuripoti shuleni kutokana na shule walizopangiwa kuwa na uhaba wa vyumba vya madarasa.

No comments